Pages

Ads 468x60px

Saturday, July 4, 2015

Ray C: Sitanii niliposema natafuta mwanaume wa kunioa>>



Ray C amedai kuwa hafanyi utani kufuatia tangazo lake la kutafuta mume wa kumuoa.

“Hahaaha yaani leo nimeipata fresh, simu na msg ni nyingi sana wengi wanadhani natania!Niko serious jamani!endeleeni na maombi huwezi jua u could be the lucky one,” ameandika kwenye Instagram.
 
“Ila ishu ya kutumia simu moja kidogo imeleta tafrani so inaonyesha michepuko ni mingi kwenye ndoa ila najua nikimpata wangu tutarekebibishana kuhusu hilo najua tutaenda sawa tu.”
“Mpaka nimeshapata [maombi] mia tano leo tu kwahiyo naona muda si mrefu ntatangaza harusi ingawa wako kwenye mchujo,” amefafanua.

0 comments:

Post a Comment

SHARE