Mbunge wa Monduli ambaye aliwahi kuwa Waziri mkuu wa Tanzania Edward
Lowassa amaeahirisha kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama
cha Mapinduzi hadi siku ya kesho ambayo ni alhamisi.
Hadi sasa mwanasiasa aliyefungua dimba la kuchukua fomu ya urais ni
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya pamoja na Waziri wa Kilimo, Chakula
na Ushirika Stephen Wassira.
Mwanasiasa anayefuata mchana huu ni Amina Salum Ali.
0 comments:
Post a Comment