Pages

Ads 468x60px

Tuesday, June 9, 2015

Waziri Magufuli Azidi Kupata Wadhamini Wengi Katika Mikoa Ya Mwanza Na Geita


Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Chato Mkoani Geita.


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwa katika picha na baadhi ya Wadhamini wake katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Chato Mkoani Geita.


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisalimiana na wadhamini wake Wilayani Chato mara baada ya kupata idadi kubwa ya wajumbe katika Wilaya hiyo.


Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Sengerema.


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisalimiana na baadhi ya Wanachama waliojitolea kumdhamini katika Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza.


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiangalia kwa umakini baadhi ya kadi za wananchama waliojitolea kumdhamini Wilayani Sengerema.

0 comments:

Post a Comment

SHARE