Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya
amechukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Mwandosya amesema hii ni mara yake
ya pili kuchukua fomu ya kugombea urais katika kinyang’anyiro chenye
wagombea wengi.
0 comments:
Post a Comment