Pages

Ads 468x60px

Saturday, June 13, 2015

PICHA YA UTUPU YA MGOMBEA URAIS YAIBULIWA..BOFYA HAPA KUIONA>>>

Mwandishi wetu
NIkama kumekucha! Tayari mbinu za
kuchafuana na kupakana matope miongoni
mwa wanasiasa waliojitokeza kugombea urais
kupitia chama kimoja cha siasa zimeanza
kujitokeza baada ya hivi karibuni kuibuliwa kwa
picha ya mgombea mmoja wa chama hicho
aliyetangaza nia akiwa na hawara ndani ya
chumba cha hoteli.
Kuibuliwa kwa picha hiyo kumekuja siku
chache kufuatia mgombea huyo kutangaza nia
huku akianika kipaumbele chake endapo
atapata ridhaa ya wapiga kura kuingia ikulu.
MUDA WA PICHA
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichotinga
katika Ofisi za Global Piblishers, Bamaga-
Mwenge, inadaiwa kuwa, mheshimiwa huyo
(jina tunalo) na mwanamke huyo ambaye si
mke wake, walipiga picha hiyo muda mrefu
lakini kutokana na duru za kisiasa za uchaguzi
mkuu mwaka huu, picha hiyo inaonekana kuwa
‘keki’ kwa wapinzani wake.
“Unajua hii picha ni ya muda mrefu.
Mheshimiwa alipiga akiwa na uhusiano na
huyu mrembo. Sasa mheshimiwa alipotangaza
nia tu, wabaya wake wakaona hapa ndiyo
penyewe, wakaiibua ili itumike kwenye kampeni
yake ya urais kama chama chake kitampitisha
yeye kugombea,” kilisema chanzo hicho.
ENEO LA PICHA
Ilizidi kudaiwa kuwa, picha hiyo ilipigwa ndani
ya hoteli moja maarufu iliyopo Mwananyamala
jijini Dar es Salaam na mpigaji alikuwa
mwanamke huyo ambaye hakujulikana jina
akitumia simu yake ya mkononi kwa kuishika
kwa mkono wake wa kulia (selfie).
SI MKE WAKE
Chanzo kilisema kwa sababu mheshimiwa
huyo wa kutoka Kanda ya Ziwa ana mke na
watoto na anaheshimika katika jamii, kupiga
picha ya namna hiyo kunamuondolea sifa ya
kuwa rais wa Tanzania.

0 comments:

Post a Comment

SHARE