Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 11, 2015

January Makamba Achukua Fomu ya Kugombea Urais>>>READ



Mbunge  wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba baada ya kutangaza nia  jana juni 10, amechukua fomu  katika Ofisi Kuu za Chama Cha Mapinduzi mjni Dodoma  ya kuomba kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi.
 
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu Makmba alisema kwamba ataendelea na safari yake  nchi nzima kutafuta wadhamini  ambao ni  wanachama wa CCM ikiwa ni sehemu ya hitaji la chama kuwa na wadhamini 450.
 
Hata hivyo  aliwashukuru  wananchi kwa  kuungana naye  kutoka katika kila kona ya nchi  na nje ya nchi huku akisisitiza kuwa  ni zama mpya, za kizazi kipya kuamua na kujenga kesho ya nchi yetu.

0 comments:

Post a Comment

SHARE