Wednesday, June 7, 2017
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa karipio kali dhidi ya wanaume wanaowapa mimba wanafunzi
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa karipio kali dhidi ya wanaume wanaowapa mimba watoto wa kike na kuahidi kuwa yeyote atakayethibitika kumpa ujauzito mtoto wa kike na kumkatisha masomo hawezi kubaki salama.
Akizungumza katika viwanja vya Mukendo mjini Musoma mkoani Mara, Makamu wa Rais amewataka watendaji serikalini kulichukulia suala hilo kwa uzito unaostahili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment