Pages

Ads 468x60px

Sunday, May 31, 2015

HATIMAYE EDWARD LOWASSA ATANGAZA NIA,AIFUNIKA ARUSHA..SHUHUDIA MATUKIO HAYA HAPA

AW1A0304
Hii ni  Ripoti toka Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Arusha, watu walianza kuingia toka saa moja asubuhi.
Mbunge Edward Lowassa tayari kaingia Uwanjani, kinachosubiriwa ni hotuba yake.
Kulikuwa na mvua ndogo hivi lakini watu wameendelea kuingia, mpaka sasa hii Uwanja umejaa, watu ni wengi na wapo baadhi ya viongozi mbalimbali ambao tayari wamefika ikiwemo Mzee Kingunge.
AW1A0001
AW1A0006 AW1A0018
AW1A0046 AW1A0082 AW1A0098 AW1A0127
AW1A0129
AW1A0251
AW1A0252
 

0 comments:

Post a Comment

SHARE