MKAZI
 wa Mbezi Beach   Dar es Salaam, Tuntutye Mwasyete (25), amefikishwa 
katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za 
kumlawiti mtoto (jina limehifadhiwa) mwenye umri wa mwaka mmoja.
Mbele
 ya Hakimu, Lilian Rutehangwa, Wakili wa Serikali Masini Musa alidai   
kwamba tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu  huko Kawe.
Mtuhumiwa alikana shtaka hilo na  alirejeshwa mahabusu   hadi Juni 24 mwaka huu yatakaposomwa  maelezo ya awali.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment