Mabomu ya machozi yameanza kupigwa leo
Jumatano June 7,2017 tangu asubuhi mpaka majira ya saa sita mchana
katika mitaa mbalimbali mjini Shinyanga.
Wakati polisi wakipiga mabomu,wananchi,waendesha bodaboda nao walikuwa wanajibu mashambulizi kwa kuwarushia mawe askari polisi.
Wakati polisi wakipiga mabomu,wananchi,waendesha bodaboda nao walikuwa wanajibu mashambulizi kwa kuwarushia mawe askari polisi.
Pamoja na jeshi hilo kupiga mabomu,
limekwenda hadi nyumbani kwenye msiba alipokuwa akiishi marehemu na
kuwatawanya kwa kuwakamata bodaboda na pikipiki zao hali iliyozua
taharuki zaidi.
Inaelezwa kuwa waendesha bodaboda hao wamegoma kumzika mwenzao wakishinikiza mpaka mkuu wa mkoa afike nyumbani kwa marehemu.
TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUWALETEA HAPA HAPA
Gari la maji ya kuwasha likimwaga maji
TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUWALETEA HAPA HAPA
Gari la maji ya kuwasha likimwaga maji
0 comments:
Post a Comment