Pages

Ads 468x60px

Monday, June 15, 2015

Ajali Mbaya ya Coaster na Lori Yaua 23 na Kujeruhi 34 Iringa>>>ANGALIA HAPA



WATU   23 wamepoteza maisha na wengine 34 wamejeruhiwa  usiku   wa  kuamkia  leo baada ya  gari aina  ya costa mali ya Another G inayofanya  safari  zake kati ya Njombe na  Iringa kugongana  na Lori mkoani Iringa.

Ajali hiyo imetokea  eneo la Kinyanambo nje  kidogo na mji wa Mafinga wilaya ya  Mufindi  mkoani Iringa wakati  gari hiyo ya Another G ikitokea  Iringa   kwenda  Njombe

Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi Mboni Mhita amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo  na  kueleza kuwa ni  miongoni mwa ajali  mbaya kutokea  wilayani Mufindi .

0 comments:

Post a Comment

SHARE