Pages

Ads 468x60px

Monday, June 15, 2015

Faiza Ally Awaacha Watu hoi Tuzo za Kill 2015>>>SOMA HAPA



Mwanadada faiza ally  amezua gumzo kwenye fainali  tuzo za Kilimanjaro music Award zilizofanyika usiku wa  kuamkia jana  katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
 
Mwanadada huyo alitinga kwenye Red kapeti tuzo za kili akiwa na vazi linao onesha baadhi ya sehemu za makalio zikiwa wazi kama ambavyo anao onekana katika picha hapo chini suala lililozua minong’ono kwa baadhi ya watu ukumbini hapo.
 

0 comments:

Post a Comment

SHARE