Jengo moja la Nyumba ya wageni ijulikanayo kama Ekamasuites Lodge iliyopo
 eneo la Kijitonyama karibu na Kituo cha Polisi cha Mabatini jijini Dar 
es Salaam, imeteketea vibaya kwa moto muda mfupi uliopita, Kikosi cha 
Zima Moto kimechelewa kufika eneo la tukio .Habari  kamili  baadae
Friday, June 19, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment