Pages

Ads 468x60px

Thursday, July 2, 2015

TAKUKURU kupeleka tuhuma za rushwa dhidi ya Edward Lowassa kamati ya maadili CCM

 
Kazi maalum waliyopewa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU) kufuata nyendo za Edward Lowassa wakati akisaka wadhamini kuhusiana na mambo ya rushwa imekamilika na sasa TAKUKURU itapeleka ripoti hiyo kamati ya maadili ya CCM mwishoni mwa wiki hii, imearifiwa.

Wakiongea na gazeti la UHURU la leo tarehe 1 julai 2015, watu maalum wa TAKUKURU waliopewa kazi hiyo wamebaini kuwepo kwa vitendo vya rushwa huku wakisema taarifa yote
itawasilishwa kwenye kamati ya maadili ya CCM.


0 comments:

Post a Comment

SHARE