Pages

Ads 468x60px

Monday, May 25, 2015

Picha Za Mkutano Wa CHADEMA Uliofanyika Jana Tanganyika Packers Kawe Jijini Dar



Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Mh.Freeman Mbowe akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Parkers Jana, ambapo pia alizindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee.
 Mh Freeman Mbowe, Halima Mdee na John Mnyika wakizindua kitabu cha Mbunge wa Kawe Mh Halima Mdee
 Gwajima akiwa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA
 Mchungaji Gwajima akiongozwa na Halima Mdee kwenye jukwaa kuu
 Wafuasi wa CHADEMA wakisikiliza hotuba ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe
Umati wa watu waliohudhuria mkutano wa CHADEMA uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers.

0 comments:

Post a Comment

SHARE