Pages

Ads 468x60px

Monday, June 8, 2015

BUKOMBE: Viongozi Waonywa



MKURUGENZI  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, Jemes Ihunyo, amewaasa viongozi wa vyama vya siasa wilayani humo kuacha kuhamasisha wahamiaji haramu kujiandikishwa katika  daftari la kudumu la wapiga kura, anaripoti Makunga Peter.
 
Alikuwa akizungumza  na viongozi wa vyama vinne vya siasa ambavyo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Wananchi (CUF) na  ACT-Wazalendo.

0 comments:

Post a Comment

SHARE