Pages

Ads 468x60px

Monday, June 8, 2015

SENGEREMA : Takukuru yawaonya wagombea>>SOMA HAPA



  

















TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  nchini (TAKUKURU)  imewaonya viongozi wote wa siasa wenye lengo la kuingia madarakani kwa   rushwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, anaripoti Anna Ruhasha.

Onyo hilo lilitolewa jana  na  Kamanda wa Takukuru Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Protas Sambangi akisema yeyote atayebainika kutoa rushwa  kwa njia yoyote  au kutoa msaada ambao  una viashiria  vya  rushwa  atashughulikiwa  kwa  majibu  wa  sheria.

0 comments:

Post a Comment

SHARE