 Picha
 iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford 
akiwa amembeba mtoto wa staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego, Curtis imezua
 maswali kwa mashabiki wao kuwa huenda mwigizaji huyo kwa sasa anamlea  
mtoto huyo.

Miezi ya hivi karibuni Nay Wa Mitego 
aliamua kumchukua mtoto wake kutoka kwa mama yake Siwema aliyekuwa 
akiishi jijini Mwanza baada ya kutoelewana kati yao na minong’ono 
ilisambaa kuwa msanii huyo anatoka kimapenzi na Shamsa Ford. 
 
0 comments:
Post a Comment