Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernad Membe leo
anatarajia kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi
ateuliwe kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sunday, June 7, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment