Staa wa Bongo Movies, Kajala, ambaye wiki kadhaa zilizopita
alishambuliwa na kujeruhiwa usoni kwa chupa na kijana alieyedai kuwa ni
pombe zilimtuma vibaya, amesema licha ya shauri hilo kuwepo bado polisi,
binafsi amekwishamsamehe kabisa kiroho safi jamaa
- Kajala aliyasema hayo kwenye eNewz ya EATV na pia alitumia nafasi hiyo kukanusha dhahiri kuwa mbaya wake huyo hahusiani kwa namna yoyote na pande mbili za mashabiki wenye mivutano mikubwa ambao ni TeamWema wanaomsapoti mwanadada Wema Sepetu, dhidi ya Teamkajala ambao wanamsapoti yeye binafsi.
0 comments:
Post a Comment