Diamond Platnumz ameonesha kukerwa na kitendo cha Zari ambaye ni mpenzi wake waliezaa nae watoto wawili.
Kumekua
na picha zinazosambaa mitandaoni zikimuonyesha Zari akiwa ndani ya maji
nusu uchi ambapo kwenye picha alizopost yeye Zari, alionekana mwenyewe
lakini kuna nyingine zimesambaa zikimuonyesha akiwa na Mwanaume.
Diamond Platnumz ameonesha kuchukizwa na kitendo hicho na kuamua kuandika yafuatayo “Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa“
Dakika chache baadae, Zari alimjibu kuwa huyo ni mtoto wa Mjomba wake na kwamba picha hiyo aliipiga mke wa mwanaume huyo.
Aidha,
Zari alisema kuwa, mwanamke ukiwa mwaminifu, mwanaume atatunga habari
za uongo ili kufukia yale ambayo huyafanya wewe ukiwa haupo.
“Photo
credit was by his wife. He is my kids uncle, the lates’ cousin And I
happened to meet them at a spa. When you are that IT loyal gal, someone
will always find fault when it’s not there just to cover and turn around
stories of all the dirty they do behind you back.”
0 comments:
Post a Comment