Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema ataunda timu yake itakayofuatilia suala la madini ya almasi.
Ndugai
ameyasema hayo leo baada ya kamati ya pili kutoa ripoti yake kuhusu
mchanga wa madini katika makontena 277 yanayoshikiliwa.
Amesema
kwa kushirikiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ni kiongozi wa
shughuli za bunge, watasaidiana kuunda timu hiyo ili kumsaidia Rais
katika masuala ya madini.
“Kwa pamoja, rais ukienda huko na sisi tukienda huku, tutafika
Tayari Spika alishaunda kamati kuchunguza suala la madini ya Tanzanite.
0 comments:
Post a Comment