Mamlaka
ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha mchakato wa
kushughulikia maombi ya IPTL ya kuongezewa muda wa leseni yake ya
biashara kwa miezi 55 ili iendelee kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO.
Mbali
na kusitisha mchakato huo, EWURA imesitisha pia upokeaji wa maoni
kutoka kwa umma na wadau mbalimbali kuhusu kusudio lake la kuiongezea
muda wa kufanyakazi nchini Kampuni ya IPTL
Uamuzi
huu wa EWURA umekuja ikiwa ni siku moja baada ya Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix Ngamlagosi
bila kueleza sababu za uamuzi huo.
Hapa chini ni taarifa ya EWURA
0 comments:
Post a Comment