MWANAMUME mmoja ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wananchi wenye
hasira katika wilaya ya Bunda mkoani Mara, kwa tuhuma ya kuiba kuku
mmoja.
Showing posts with label Kitaifa. Show all posts
Showing posts with label Kitaifa. Show all posts
Wednesday, June 14, 2017
Tuesday, June 13, 2017
BREAKING NEWS: TAARIFA KWA UMMA JKT IMEONGEZA ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MEI 2017 KWA AJILI YA KUHUDHURIA MAFUNZO YA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi
la Kujenga Taifa (JKT), linapenda kuutaarifu umma kuwa limeongeza
majina ya vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita mwezi Mei 2017
kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.
Vijana hao wanatakiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 13 Juni 2017 hadi tarehe 20 Juni 2017.
Jeshi la Polisi latoa tahadhali kwa wananchi, latoa onyo kali
Jeshi
la Polisi nchini Tanzania limetoa tahadhari kwa wananchi kuwa ndani ya
Jeshi la hilo hakuna ajira zilizotangazwa, na kuwataka wananchi wote
kuwa makini na mtandao wa matapeli.
Monday, June 12, 2017
Fundi Mbao Atiwa Mbaroni Kwa Kuwabaka Watoto Wake Wawili
Fundi
mbao, Japhet Lendiman (38) mkazi wa Daraja Mbili, anashikiliwa na Jeshi
la Polisi, baada ya kubaka watoto wake wa kike wa darasa la sita na
kidato cha kwanza.
Sunday, June 11, 2017
IGP Sirro: Ni kosa Polisi Kudai Hela ya Mafuta kwa Raia
Mkuu
wa Jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro amewataka makamanda wa
polisi mikoa kuhakikisha wanatumia vizuri mafuta ya magari wanayowekewa
ili kuepuka malalamiko ya wananchi kwa magari ya polisi kukosa mafuta.
Mauaji Kibiti: IGP Sirro Awataka Waandishi Kuwa Wazalendo
Wakati
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akisema matukio ya
mauaji ya hivi karibuni mkoani Rufiji yana harufu ya kisiasa, Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amevitaka vyombo vya habari
kuwa na uzalendo, ikiwa ni pamoja na kuacha kutoa taarifa zenye
kuchochea hofu kwa wananchi.
Basi la BATCO Lateketea Kwa Moto
Basi
la BATCO lenye namba za usajili T192DHW limeteketea kwa moto hii leo
katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butiama Mkoani Mara. Gari
hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime-Sirari na Mwanza.
Saturday, June 10, 2017
AWAMU YA PILI:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WATAKAOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI 2017
Haya hapa majina ya wanafunzi watakaochaguliwa awamu ya pili kitado cha tano mwaka 2017
Jela Miaka 23 Kwa Kuiba Cheti Kidato cha Nne
Mahakama ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu kwenda jela miaka 23 mkazi wa kijiji cha Kalovye, Osward Mpalasinge (26).
Amepewa
adhabu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja na kuiba vitu
mbalimbali ikiwemo cheti cha kidato cha nne. Hukumu hiyo ilitolewa jana
na Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Teotimus Swai baada ya mshtakiwa
kukiri kosa mahakamani.
Ndama Shabani Hussein (Pedeshee Ndama) Ahukumiwa jela miaka 5 au Kulipa faini ya sh. Milioni 200
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu kulipa faini ya Sh200 milioni
mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein maarufu kama Pedeshee Ndama mtoto
ya Ng’ombe baada ya kulikubali na kutiwa hatiani katika shtaka la sita
la kutakatisha dola za Marekani 540,000.
Mwanafunzi wa Miaka 13 Abakwa Hadi Kufa
Mwanafunzi
wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 anayesoma Shule ya Msingi
Kipanga wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi, amebakwa hadi kufa na watu
wasiojulikana, ambao waliutupa mwili wake korongoni.
Friday, June 9, 2017
Mlinzi auawa kwa kukatwa mapanga Sengerema
Na Veronica Martine, Sengerema
Mlinzi
mmoja wa maduka ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga na mwingine
mmoja kujeruhiwa katika kitongoji cha Sima Majengo Kata ya Sima
Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza.
LHRC Wapinga IPTL Kuongezewa Leseni Ya Kuendelea Kufanya Kazi Nchini
Kituo
cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimepinga kusudio la Mamlaka ya
Nishati na Maji (Ewura) la kuipa leseni Kampuni ya kufua umeme ya
Independent Power Limited (IPTL).
Wednesday, June 7, 2017
POLISI WAPIGA MABOMU YA MACHOZI,MAJI YA KUWASHA KUTAWANYA WAENDESHA BODABODA SAKATA LA KIFO CHA MWENZAO SHINYANGA

Mfumo mpya wa uhasibu kupunguza hati zenye mashaka

Mkuu wa Kitengo cha Tehama na mawasiliano kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) bwana Desderi Wengaa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wakufunzi wa mfumo wa Uhasibu na utoaji taarifa za fedha.
Subscribe to:
Posts (Atom)








