Pages

Ads 468x60px

Showing posts with label Politics. Show all posts
Showing posts with label Politics. Show all posts

Wednesday, June 14, 2017

John Heche ( Mbunge) Kuwahamasisha Wananchi Kuzipiga Mawe Ndege za ACACIA


Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amefunguka na kusema kwa kuwa Rais Magufuli kupitia ripoti ya pili ya mchanga amesema kampuni ya ACACIA ni feki na haipo basi yeye anawaambia wananchi wa jimbo lake wajiandae kuingia mgodini kuchukua kila kitu.

Mbowe Apata Pigo Tena.... Serikali 'Yaharibu' Mitambo Shambani Kwake

Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amezidi kukumbwa na matukio mbalimbali baada ya jana Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kung’oa mitambo ya umwagiliaji iliyopo katika shamba lake na kumtoza faini kwa kuendesha kilimo eneo lisiloruhusiwa.

Msaidizi Wa Mbowe ( Profesa Abdallah Safari ) Amfananisha Rais Magufuli Na Mashujaa Wa Afrika

Kada wa chama cha Demokrasia  na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Abdallah Safari amemfagilia Rais Magufuli kwa kupigania rasimali za taifa ikiwemo madini yaliyokuwa yakiwanufaisha Wawekezaji.

LOWASSA: Avunja ukimya na kuonyesha uzalendo wake kwa kumpongeza Rais Magufuli..soma hapa

“Nimpongeze sana Mhe Rais John Pombe Magufuli kwa uamuzi na hatua ambazo amechukua kuhusu jambo hili, na hasa pale anapowashirikisha wananchi, ni jambo muhimu sana.


SDDO WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUUSU MADINI YA TANZANIA

UNICEF YASAIDIA VITANDA VYA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU ZANZIBAR!


 Waziri wa Afya, Mahmoud Thabit Kombo akipokea msaada wa vitanda vya wagonjwa wa kipindupindu kwa Afisa Mkaguzi Mkuu wa Shirika la kuhudumia watoto Duniani (UNICEF) Bi. Francesca Morandini katika kambi ya kipindupindu Chumbuni.

Tuesday, June 13, 2017

Spika Job Ndugai Atoa ONYO Kwa Halima Mdee na Ester Bulaya......Atishia Kuwapa Adhabu Kali Zaidi

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai leo bungeni amewapa onyo wabunge Halima Mdee pamoja na Easter Bulaya akisema kuwa wanapaswa kutambua kuwa Bunge bado linauwezo wa kuwaita na kuwahoji na kuwapa adhabu kali zaidi ya hiyo walionayo sasa.

Rais Magufuli Akutana na Wakuu Wote wa Mikoa Nchini na Kutoa Maagizi Mazito

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewaagiza Wakuu wa Mikoa kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa mpango wa ujenzi wa viwanda katika maeneo yao ili kuwawezesha wananchi kuongeza thamani ya mazao yao na kuzalisha ajira.

Profesa Kitila Mkumbo Awapa Makavu Wapinzani Wanaopinga Ripoti za Rais Magufuli

Katibu Mkuu wa wizara ya maji na umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo amewakejeli watu wanaopinga ripoti mbili za mchanga zilizowasilishwa na tume mbili tofauti za wasomi kwa Rais John Magufuli.

Serikali yatoa kibali cha kuajiri watumishi 15000 kuziba nafasi za watumishi waliobainika kuwa na vyeti feki.

Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mh.Angela Kairuki amesema tayari serikali imeshatoa kibali cha ajira 15000 kwa ajili ya kujaza nafasi zilizoachwa wazi na watumishi waliobainika kuwa na vyeti feki katika zoezi lililofanyika nchi nzima la kuwabaini na muda si mrefu nafasi hizo zitajazwa.

Spika Jobu Ndugai Atoa ONYO Kwa Wabunge wa Upinzani Wanaotaka Marais Wastaafu Washitakiwe

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.

Waziri Mkuu Majaliwa awavalisha vyeo Maafisa wa Magereza, ahimiza haki na usawa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka maaafisa na makamanda wa Jeshi la Magereza nchini waendelee kusimamia haki na usawa wanapotimiza wajibu wao.

Maoni ya Tundu Lissu baada ya Rais Magufuli kupokea ripoti ya pili ya kamati maalum ya uchunguzi wa madini

For the Record: What Goes Around Comes Around!!!

Leo wapinzani wa Serikali ya Magufuli tumesemwa sana na kutishiwa kushughulikiwa bungeni na nje ya Bunge.

Walichokisema Dr Kafumu, Ngeleja na Andrew Chenge Baada ya Kutakiwa Kuhojiwa Na Vyombo vya Dola

Vigogo waliotajwa katika ripoti ya pili ya kuchunguza makontena yenye mchanga wa madini (makinikia)  kuisababishia Serikali hasara ya matrilioni ya fedha kupitia sekta ya madini, walipokuwa wakihudumu katika nyadhifa zao serikalini wamevunja ukimya.

Prof. Muhongo, Andrew Chenge na Wahusika Wengine Wazuiwa kutoka nje ya Mipaka ya Tanzania

Serikali imeagiza, Mawaziri, Wanasheria Wakuu wa Serikali na Manaibu wao, Wakurugenzi wa idara za mikataba, na Makamishna wa madini, wanasheria wa Wizara ya Nishati na Madini na watumishi wengine wa Serikali na watu wote waliohusika katika kuingia mikataba ya uchimbaji madini, utoaji wa leseni za uchimbaji wa madini na kuongeza muda wa leseni, watumishi na wamiliki wa makampuni ya madini kuto toka nje ya mipaka ya Tanzania.

Monday, June 12, 2017

ACACIA wapinga vikali matokeo ya kamati ya pili ya Rais

Mwitikio wa Acacia kwenye matokeo ya kamati ya pili ya Rais

Acacia imeona matokeo ya kushtua ya kamati ya pili ya Rais iliyowasilishwa kwa Rais wa Tanzania Mh. Dk John P. Magufuli leo asubuhi ambayo imeangalia nyanja za historia za kiuchumi na kisheria ya mauzo ya nje ya makanikia ya madini.

FULL RIPOTI: Hii Ndo Taarifa Yote Ya Kamati ya Pili ya Kuchunguza Madini Katika Mchanga Iliyowasilishwa Kwa Rais Leo

Leo June 12, 2017 Rais Magufuli amepokea Ripoti ya piti ya kamati aliyounda kuchunguza madini katika mchanga.

Spika Job Ndugai kuunda timu ya kuchunguza suala la madini ya Almasi

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema ataunda timu yake itakayofuatilia suala la madini ya almasi.

Ndugai ameyasema hayo leo baada ya kamati ya pili kutoa ripoti yake kuhusu mchanga wa madini katika makontena 277 yanayoshikiliwa.

Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete

Bunge limezizima kwa makofi baada ya hotuba ya mpango wa bajeti ya kambi rasmi ya upinzani.Wabunge wa upinzani  ndiyo wengi waliobaki ukumbini baada ya wengi kwenda kufuatilia ripoti ya kamati ya pili ya Rais John Magufuli kuhusu usafirishaji wa makinikia.

Profesa Muhongo Kitanzini Tena.....Ni Baada ya Rais Magufuli Kuviagiza Vyombo vya Dola Vimuhoji Kwa Kusaini Mikataba Mibovu ya Madini

Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dkt Magufuli ameagiza viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini, Manaibu wake, Wanasheria Wakuu wa Serikali, Makatibu Wakuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Maafisa wa TRA, na watumishi wengine waliohusika katika upotevu wa matrilioni ya fedha kupitia sekta ya madini wahojiwe.

SHARE