Pages

Ads 468x60px

Showing posts with label Artists. Show all posts
Showing posts with label Artists. Show all posts

Monday, June 12, 2017

MAPOVU Ya Diamond Platnumz Baada ya Mpnz wake Kupost Picha ya Nusu Uchi Akiwa na Mwanaume Mwingine

Diamond Platnumz  ameonesha kukerwa na kitendo  cha  Zari  ambaye ni mpenzi wake waliezaa nae watoto wawili.

Tuesday, June 6, 2017

Rose Muhando Atiwa Mbaroni mkoani Singida kwa Utapeli

Jeshi  la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za injili, Rose Muhando akituhumiwa kujipati fedha kwa njia ya udanganyifu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Mgiligimba alithibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo alisema mwimbaji huyo alikamatwa juzi Wilaya ya Ikungi baada ya wadeni wake ambao ni Waumini wa Kanisa la AICT Singida kupata taarifa kuwa yupo wilayani humo.

Thursday, July 21, 2016

Saturday, July 4, 2015

Ray C: Sitanii niliposema natafuta mwanaume wa kunioa>>



Ray C amedai kuwa hafanyi utani kufuatia tangazo lake la kutafuta mume wa kumuoa.

“Hahaaha yaani leo nimeipata fresh, simu na msg ni nyingi sana wengi wanadhani natania!Niko serious jamani!endeleeni na maombi huwezi jua u could be the lucky one,” ameandika kwenye Instagram.
 
“Ila ishu ya kutumia simu moja kidogo imeleta tafrani so inaonyesha michepuko ni mingi kwenye ndoa ila najua nikimpata wangu tutarekebibishana kuhusu hilo najua tutaenda sawa tu.”
“Mpaka nimeshapata [maombi] mia tano leo tu kwahiyo naona muda si mrefu ntatangaza harusi ingawa wako kwenye mchujo,” amefafanua.

Wednesday, June 10, 2015

Diamond Platnumz Follows Dr.Dre And 50 Cent's Footsteps By Launching His Own Headphones.!!


Diamond Platnumz is following footsteps of American big names like Dr. Dre, DJ Khalid and 50 Cent in the headphone and earphone business as he is all set to launch his own. 
 
Through his instagram today the east African music superstar revealed at while wishing supermodel Flaviana Matata happy birthday. He will officially launch his headphone at the end of this year. Congratz to him. be inspired

Tuesday, June 9, 2015

BASATA wambana Amanda Poshi, wazuia shoo yake>>>



Msanii wa filamu nchini Tanzania, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya BASATA, kumzuia kufanya shoo aliyopanga kufanya wiki iliyopita kutokana na kualika vikundi vya burudani ambavyo vipo kinyume na maadili.
 
Amanda, amesema kuwa shoo hiyo ilikuwa ifanyike katika ukumbi wa Mzalendo, Kijotonyama jijini Dar es Salaam, lakini ilishindikana kutokana na kupokea barua kutoka BASATA ya kusitisha shoo hiyo.
 
Amedai kwa mujibu wa BASATA vikundi vya baikoko na khanga moko walivipiga marufuku kufanya shoo kutokana na kuvaa mavazi ya nusu utupu hivyo kushindikana kufanyika kwa shoo hiyo.

Friday, June 5, 2015

Jokate na Alikiba Sio MAKOMBO Tena.......Wazidi kuuweka hadharani uhusiano wao, mashabiki waupa tick!!!



Alikiba na Jokate Mwegelo wanaendelea kukusogeza karibu katika muungano wao wa hivi karibuni. 
 
Wawili hao wanaonesha kuelemewa na uzito wa penzi lao kiasi cha kuanza kujiachia na kuualika ulimwengu kwenye dunia yao mpya.

Jokate amepost picha Instagram akiwa na hitmaker huyo wa Chekecha na kuandika:All The Best Chèr.
 
Mashabiki wanaonekana kuufurahia uhusiano huo na wengine wanasema wanapenda kuwa pamoja.
 
“Oooh wowww nina vyo wapenda hadi raha , yani couple yenu ina vutia sana , maana nyiote wazuri alafu mna jitambuwa , na atakae kuwa kinyume na hili ata kuwa hawatakii wema , maana wana damu tuliumbiwa tuwe wawili ili kusaidiana mambo mengi katika maisha, so nawapendeni sana @jokatemwegelo ,@officialalikiba , nawaombea sana Mungu azidi kuwa lindia mausiano yenu , mufike kwenye malengo mazuri zaidi, msisikilizi ya walimwengu hawana mema hawana mema,” ameandika alinezinta.

Thursday, June 4, 2015

Mimba' Ya Lulu Michael Yapotea kimaajabu>>soma hapa!!



Miezi miwili iliyopita kuliibuka madai mazito kwamba staa bei mbaya wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameongezeka tumbo hivyo mashabiki wake wakapiga vigelegele kwamba huenda ana mimba lakini sasa tumbo hilo limeyeyuka.

Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika, Lulu kwa sasa anakatiza viunga vya chuo anachosoma cha Magogoni jijini Dar akichukua masomo ya Uhusiano wa Umma, akiwa hana lile tumbo la Aprili.
 
Mwandishi alizungumza na baadhi ya wanafunzi wenzake ambao walidai msanii huyo alikuwa hafiki chuoni hapo kwa muda mrefu lakini sasa amejaa tele ‘mwepesii’.
 
“Hakuwa akija chuoni kwa muda, baadaye akawa anahudhuria kwa ‘kupibu’ kisha kuacha tena ila ameanza juzi tu kutokana na kuwepo kwa mitihani,” alisema mmoja wa wanachuo hao.
 
Kama taaluma inavyoelekeza, mwandishi wetu alimtafuta Lulu kupitia simu yake ya mkononi huku ikiita bila majibu.
 
Baadaye alitumiwa ujumbe wa  kuulizwa  kuhusu  sakata  hilo  ambapo   alijibu: “Hao wanaodai nina mimba walinipa wao? Sina nafasi ya kufafanua.” 
 
Hivi karibuni Lulu aliripotiwa na mitandao ya kijamii kuwa huenda ana mimba.
Chanzo: Gpl/Gazeti  la  Amani

Ni kweliAunt Ezekiel Alimwa Talaka????



Kuna madai kwamba, Aunt Ezekiel alishaandikiwa talaka na ipo nyumbani kwa wazazi wa aliyekuwa mumewe, Sunday Demonte, Temeke Mwisho jijini Dar.
  
Kwa mujibu wa chanzo, talaka hiyo iliandikwa na mumewe huyo baada ya kupata taarifa kwamba, mkewe huyo ana ujauzito unaodaiwa kuwa ni wa Mnenguaji wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo.
 
Hivi mnajua kwamba, Aunt alishaandikiwa talaka? Kama hamjui mjue sasa. Ipo Temeke kwa wakwe zake. Jamaa si yupo Uarabuni mahabusu, alisikia mkewe ana mimba ya Iyobo.  Nadhani wanashindwa kumpa hiyo talaka kwa sababu walishakata mawasiliano naye tangu kitambo,” kilisema chanzo.
 
Aunt mwenyewe alipotafutwa juzi  na kuulizwa kuhusu madai hayo,  alisema: 

“Sijui lolote kuhusiana na hilo, aliyesema kuwa nimeandikiwa talaka ipo ukweni kwangu ndiye angesema kila kitu yeye kwa vile anajua, mimi sijui.”
Credit:Gpl

MSANII KAJALA ATANGAZA KUMSAMEHE MBAYA WAKE..UNAMJUA NI NANI? SOMA HAPA

Staa wa Bongo Movies, Kajala, ambaye wiki kadhaa zilizopita alishambuliwa na kujeruhiwa usoni kwa chupa na kijana alieyedai kuwa ni pombe zilimtuma vibaya, amesema licha ya shauri hilo kuwepo bado polisi, binafsi amekwishamsamehe kabisa kiroho safi jamaa
  • Kajala aliyasema hayo kwenye eNewz ya EATV  na pia alitumia nafasi hiyo kukanusha dhahiri kuwa mbaya wake huyo hahusiani kwa namna yoyote na pande mbili za mashabiki wenye mivutano mikubwa ambao ni  TeamWema wanaomsapoti mwanadada Wema Sepetu, dhidi ya Teamkajala ambao wanamsapoti yeye binafsi.
 

MSANII WA BONGO FLAVA NICK WA PILI AJIPANGA KUWA RAIS WA TANZANIA, ATAJA VIPAUMBELE VYAKE PINDI ATAKAPO KUWA RAIS >>>SOMA HAPA

 
Nick wa Pili
Mkali wa Hip Hop Bongo,Niki Wa Pili amesema kuwa ana ndoto ya kuwa raisi wa Tanzania hapo baadaye na kwamba amebainisha vipaumbele vyake atakavyovifanya atakapokuwa madarakani.

Akizungumza na Clouds FM, alisema kuwa viongozi wa sasa wameshindwa kutekeleza sera zao kutokana na sababu mbalimbali hasa za binafsi,kitaifa na kimataifa na sera hizo hubadilika kila wakati.

Akimzungumzia rais ajaye kama anaweza kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Tanzania hivi sasa alisema kuwa anaweza kama akija na sera nzuri na pia mabadiliko ya kimaendelea duniani kote huja taratibu.

‘’Naamini rais ajaye atafanya mabadiliko ya kimaendeleo kama akija na sera nzuri lakini naamini maendeleo duniani kote huja taratibu,’alisema Niki.

Pia akizungumzia uchaguzi mkuu wa mwaka huu ambao utafanyika mwezi Oktoba alisema kuwa utakuwa na ushindani mkubwa kutokana na wagombea wengi kujitokeza kuwania kugombea uraisi kupitia chama cha CCM,na pia upande wa upinzani kuna ushindani mkubwa wa kumteua mgombea wa uraisi.

Niki Wa Pili ametaja vipaumbele vyake pindi atakapokuwa raisi wa Tanzania

1.serikali lazima irudi kuwekeza kwenye uchumi

Wawekezaji nawapa sector zilizo dumaa hamna uwekezaji wa kuvuna bali wa kuzalisha
Lectures za vyuo zitarekodiwa na kutakuwa na you tube chanells za accounts, marketi, sociology nakadhalika…….so kwa waliokosa vyuo na mikopo, unaweza ukawa unazitazama….then chuo unakuja kufanya mitihani….vitabu navyo on line
Shule za vipaji maalumu narudisha, divion one ya kwanza haulipi ada, masomo ya sayansi 60% kwa vitendo

2.Mbunge lazima uwe na masters
3.Kipimo cha maendeleo ni watu

4.Kipimo cha miradi, sera, wizara ni matokeo yake kwa watu

5.Ukipatikana na rushwa unafutiwa kazi na vyeti vyako.

Tuesday, June 2, 2015

Download nyimbo mpya hapa>>>>Iyanya x Diamond - Nakupenda [Official Video]

Iyanya x Diamond - Nakupenda [Official Video]


 BOFYAHAPA>>>>>>>Iyanya x Diamond - Nakupenda [Official Video]  

 

MISS TZ AMCHOKONOA ZARI KWA DIAMOND! WENYEWE WAFUNGUKA KIHIVI...SOMA HAPA>>


Musa mateja

Madai mazito! Mshiriki wa Kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2011/12 ambaye alianza harakati za kunyakua taji hilo akitokea Mkoa wa Shinyanga na baadaye kutwaa Taji la Miss Kanda ya Ziwa, Glory Samwel anadaiwa kumchokonoa Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwa kile kinachodaiwa kuwa ana ukaribu wa ‘kimalovee’ na mpenzi wa Zari, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa katika pozi na miss huyo. Chanzo cha ‘unyunyuzi’ huo kilitonya kwamba, mlimbwende huyo amekuwa akionekana mara kwa mara akijivinjari na Diamond jambo ambalo wadau wamelishtukia na kubaini kuwa ana mpango wa kuingilia penzi la Zari na kusambaratishia uchumba wa wawili hao.
Ijumaa Wikienda lilinyetishiwa habari hizo hivi karibuni na kuamua kuzifanyia kazi hatua kwa hatua, ambapo liliweza kujiridhisha kwa baadhi ya matukio ya picha ambazo mrembo huyo amekuwa akipiga na Diamond.
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Mbali na picha pia kuna matukio ya sherehe za ‘bethidei’ ambazo Diamond alionekana akiwa karibu na mrembo huyo.
Ukiachilia mbali uchunguzi huo, mwanahabari wetu alimtafuta mrembo huyo kwa lengo la kutaka kujiridhisha juu ya madai hayo ambapo alikiri kuwa na ukaribu na Diamond huku akifafanua kwamba uhusiano wake na jamaa huyo si wa kimapenzi kama wengi wanavyomchukulia.

“Hizo picha za karibu zaidi ni zile ambazo tulipiga kwenye bethidei ya meneja wa Diamond aitwaye Salaam, ambayo ilifanyika pale nyumbani kwake (Salaam) Kijitonyama (Dar) hivi karibuni.
“Ni kweli watu wengi wananituhumu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond lakini si kweli maana ninajuana naye kawaida tu,” alisema Glory.

Kwa upande wa Diamond aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa ni kweli anamfahamu Glory ila si mpenzi wake na anachokijua ni shabiki wake kama ilivyo kwa wengine.
Alisema hata picha alizopiga naye hakuna picha za hovyo maana zilipigwa hadharani.
“Glory ni shabiki wangu wa kawaida tu kama ilivyo kwa mashabiki wangu wengine, suala la kupiga naye picha halimaanishi ni demu wangu,” alisema Diamond.

MKE WA ZAMANI WA MH. SUGU AFUNGUKA TENA LIVE INSTAGRAM!!..HEBU MSIKIE HAPA>>


"Naomba nifunguke kidogo maana hili swala limeshanitokea mara mbili hivi- saa nyingine tunakutana na marafiki wapya bila kujua historia zao zamani hilo kwangu linakuaga sio muhimu sana kwa sababu kila mtu ana mapito yake lkn cha muhimu kwangu kinakuaga ni ukweli tu ktk mahusiano - ktk marafiki nilio wahi kukutana
Na hao wawili ni wasagaji kitu ambacho mm nilikua sijui lkn ningejali wala kujaji kama wana sagana japo huwa sisapoti hilo Jambo- kuna mmoja hivi aliwahi kunikiss gafla huko Asia lkn kwa kweli sikuelewaga nikazani labda sijui ndio uzungu au pombe- Na kuna mwingine kalewa kaanza kunishika shika kwa nguvu kha! Kwa kweli ktk hizo mara zote mbili nashangaa lkn nakua sisemi kitu maana sijawahi kuwaza au kuzani kwamba labda mtu alie kuwa karibu Na mm ana tabia hiyo - sasa nataka kusema hivi sipendi hiyo tabia ya usagaji na sijawahi kusagana na sintakuja kusagana- kifupi napenda wanaume - napenda dudu Na Na enjoy sex- Na mwanaume sana so ktk swala la kusagana kwangu halina nafasi! Kama wewe ni rafiki yangu au mtu unae nitamani nipende tu kwa mbali lkn usiwe na matumaini hata kidogo maana kwangu huta pata hiyo nafasi kamwe! KUSAGANA HAPANA!

BREAKING NEWS::HIVI STAA JOYCE KIRIA KUMBE ALIKUWA NI HOUSE GELI?..MSOME HAPA


Joyce Kiria mwanamke wakuigwa toka kuwa dada wa ndani mbaka sasa mwanaharakati wa haki za wanawake.Historia yake ya uthubutu na kujaribu imemfanya kua mtu muhimu kwenye jamii.Baada ya kuacha kazi ya usaidizi wa kazi za ndani akajiajiri kwakupika vitafunio nakuzungusha maofisini.Utangazaji umempa umaarufu mkubwa hasa kwenye sekta ya kupigania wanawake.Ni mke wa mwanasiasa toka chama cha chadema Henry Kilewo.Ameshakomaa nakua shupavu kiasi cha kuwapeleka hadi wabunge mahakamani na kuwashinda juu ya unyanyasaji wa wanawake hongera kwake le super woman.

SHAMSA ALETA GUMZO BAADA YA KUANIKA KUMLEA MTOTO WA NAY!! SOMA HAPA>>>

Picha iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford akiwa amembeba mtoto wa staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego, Curtis imezua maswali kwa mashabiki wao kuwa huenda mwigizaji huyo kwa sasa anamlea  mtoto huyo.
Miezi ya hivi karibuni Nay Wa Mitego aliamua kumchukua mtoto wake kutoka kwa mama yake Siwema aliyekuwa akiishi jijini Mwanza baada ya kutoelewana kati yao na minong’ono ilisambaa kuwa msanii huyo anatoka kimapenzi na Shamsa Ford.

Monday, June 1, 2015

ONA GARI JIPYA LA DIAMOND PLATNUMS AINA YA MERCEDES MI 350 NI BALAAH


Vehicle types of Mercedes 350 Cdi inyosemekana Diamond is owned by the artist .That is Mercedes Ml 350 Cdi the 2014 Radio Wood in one of imevumisha that is something new to Diamond Platnumz yet even numbers can kijabatizwa them and is quite new as they say Swahili zero kilometers.All these know no secret this world, and if there exists lajongea , the truth will be known only ...Luxury car .
 Luxury car 


SHARE