
Joyce Kiria mwanamke wakuigwa toka kuwa dada wa ndani mbaka sasa mwanaharakati wa haki za wanawake.Historia yake ya uthubutu na kujaribu imemfanya kua mtu muhimu kwenye jamii.Baada ya kuacha kazi ya usaidizi wa kazi za ndani akajiajiri kwakupika vitafunio nakuzungusha maofisini.Utangazaji umempa umaarufu mkubwa hasa kwenye sekta ya kupigania wanawake.Ni mke wa mwanasiasa toka chama cha chadema Henry Kilewo.Ameshakomaa nakua shupavu kiasi cha kuwapeleka hadi wabunge mahakamani na kuwashinda juu ya unyanyasaji wa wanawake hongera kwake le super woman.


0 comments:
Post a Comment