Pages

Ads 468x60px

Wednesday, June 17, 2015

Urais 2015: Mtwara Wajitokeza Kwa Wingi Kumdhamini Magufuli>>soma hapa



Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika  mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mtwara.

Mchakato wa udhamini ukiendelea kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Mtwara mjini.
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara.

0 comments:

Post a Comment

SHARE