Mbunge Edward Lowassa tayari ameanza kuhutubia na hapa nimekuandika point muhimu ;
11.Nauchukia sana UMASIKINI
10.Nina Ari, nina nguvu na nina shauku ya kuongoza Tanzania
9.Angalieni kushangilia kwenu kusimpe Mangula hoja ya kunishughulikia
8.Tanzania inahitaji Rais anaeweza kuwaunganisha watanzania, kukuza pato mjini na vijijini, na kuzalisha ajira kwa vijana wetu.....(Watu wanashangilia wakiiita Rais Rais!!!)
7.Nimeamua kugombea kutokana na kuzorota hali ya demokrasia na maendeleo nchini. Siasa za chuki
6.Nchi inahitaji uongozi wenye Uthubutu na usioogopa kufanya maamuzi magumu
5.Nimeamua kugombea kutokana na kuzorota hali ya demokrasia na maendeleo nchini. Siasa za chuki
4.Nchi inahitaji uongozi imara kutatua tatizo la ajira kwa vijana
3.Watanzania wanataka mabadiliko
2.Nikiwa mwenyekiti wa kampeni niliwezesha ushindi wa Kikwete wa 90%

1. Leo natangaza nia, siombi kura. Leo ni kutangaza nia tu
0 comments:
Post a Comment